Sunday, October 14, 2012

"MOODY .K. MOODY" AFUNGUKA NA MOODY NAPSTER.BLOGSPOT.COM JUU YA NDOTO ZAKE



Mohamedy Kiombe maarufu kwa jina la Moody .k. moody ana dream ya kuwa ni mmtangazaji maarufu hapa nchi Tz na ni mwanafunzi wa chuo cha Uandishi wa Habari Dar es salaam school of journalism (D.S.J)  aki-presue Diploma in journalism mwaka wa pili,Anamapenzi makubwa kuwa mtangazaji wa kipekee mwenye style ya tofauti na wengine na  kwa sasa anaanda kipindi ambacho Tittle yake ni HARAKATI ZA BONGO kitakkuwa kinahusu  changamoto zinazo wakuta wasanii wachanga pindi hawajatoka na ngoma za kale                




"Huu ni mwanzo mzuri kwangu kwa kuandaa kipindi na kufanya nifike katika harakati ambazo ninazofikilia"Akizungumza Moody .k. Moody na MOODY NAPSTER.BLOGSPOT.COM na kupublish dream zake





Na ukiachana na swala la utangazaji  MOODY .K. MOODY  anapenda pia swala mitindo Moody aliongezea kuwa angepata mtu wa kumsupport angeweza kujikita katika swala la u modal maana anaamini kuwa mwili wake na ngozi yake anavigezo vikubwa vya kuwa modal na role modal wake katika maswala ya utangazaji vipindi ni B. TWANGALA (B  12) ana wish kuwa kama yeye


No comments:

Post a Comment